Pamechimbika Ubungo



sie wakazi wa ubungo tumesha mwandalia keneza
 
Kwa upande mwingine hizi biashara za barabarani zinakera sana.
Mfano Buguruni:
Barabara kutokea Chama (au sheli) hadi sokoni ni shida kwa watembea kwa miguu maana njia yao imejaa biashara.
Kule feri jijini dar;
Watu wanafanya biashara kwenye eneo la ujenzi wengine wanaonesha mazingaombwe kitu ambacho ni hatari na usumbufu kwa mafundi wa ujenzi.
 
Hayo sio maeneo ya Biashara na wanavunja sheria. Wabongo tunataka utawala wa sheria mbona mnalalamika. Wangekuwa wameletwa na Jiji sawa, ila wamekuja wenyewe na waondoke wenyewe na serikali haihusiki kiwatafutia sehemu ya kwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…