Mwakinyo alishinda kihalali kwa wasiojua ngumi hawataelewa, mwakinyo round ya kwanza hadi ya 4 alipiga ngumi za points ambazo nyingi ziliingia kichwani kwa mpinzani, yule mfilipino alikuwa anarusha ngumi ambazo hazina points nyingi, alikuwa anapiga tumboni na mikaononi pamoja na kwenye viwiko vya Mwakinyo, sema tu mwakinho pumzi zulikata maprma na mara nyingi alikuwa ana defense kuanzia round ya 7