Kwa mpambanaji siku zote yeye kwake anaona kawaida ije hali ngumu anaona kawaida ije hali nzurii anaona kawaida pia, sii kazoea kupambana muda wote.
Kwa wale wavivu wavivu wazoea mtelemko, wazoa rahisi rahisi lazima ataona kama unayo yaona wewe hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada una dalili za kimaskini sanaWakuu Kwema? Nimeona ni vema tuelezane yafuatayo kwa upole tu;
1. Kupeleka watoto Shule Wakati uchumi umeshayumba kwa sasa ni kujiumiza..Mpeleke Mtoto Shule utakayoweza kulipa..Pambana na Hali yako
2.Kuendelea kutumia usafiri Wakati hela ya Mafuta imeshakuwa adimu ni kujiumiza..Tumia usafiri wa jumuiya /Mwendokasi. .Pambana na Hali yako
3. Kupanga nyumba nzima Wakati Huna Familia kubwa na kodi zimekuwa shida ni kujiumiza. .Pambana na Hali yako
4.Kuwa na mchepuko Wakati Huna uwezo wa kumhudumia ni kutafuta stress na kujiumiza kiuchumi..Pambana na Hali yako
5.Kuwa na Wadogo zako ambao hawana kazi Mjini Wakati huu Wakati uchumi umeshuka Ni kujiumiza. .Warudishe Kijijini Tu! Pambana na Hali yako
Nawasilisha Wadau !
Kikokotoo!
Ye kama hali yake imebadilika asifikiri ni woteMtoa mada pambana na hali yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ye kama hali yake imebadilika asifikiri ni wote