Palizi la bustani

sijaelewa mkuu... pinochio kwa kutamka neno vuzi au??

my understanding ni wkamba vuzi ni neno la kiswahili

Nilicho kuwa nataka kukilenga ni matumizi ya lugha! umesema "Vuzi",huoni kama umetaja neno zito kdogo,mtoa mada katumia neno bustani kwa ku avoid kulitaja hilo neno maana linachosha! huoni mkuu??
 
Hebu ninong'oneze swiry

Wapenda uwanja gani vile?

wa gofu ndo wenyewe!
wa basket nikianguka vibaya kidonda inshu!lol
wakufugia simbilisi sitona vizuri bana unawez ukatupa nshale kusiko!au nikabana mtego kwingine!oh!
umenioneapo Ennie?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…