Palizi la bustani

Sasa mkuu bustani ikikatwa si itakua hakuna bustani bali ni uwanja tu!
Bustani ipunguzwe tu na kumwagiwa maji mara kwa mara!
...
Nyumba bila bustani haipendezi asee!

Kweli nyumba bila bustani haipendezi, wengine tunapagawa bustani ikiwa na nyasi ndefu ila laini na mji uwe msafi hapo dah!
 
Baba Paroko umekuja kikulima kweli, ebhana mi napenda bustani iliyosafishwa vizuri sio ile ya pwapwapwa huyo! imwagiliziwe maji na kuwekewa samadi vema, hapo mwenyewe tu utasogea kufuata nyuki ili ung'atwe ooh sorry ulambe asali.
 
Bustani yako ikoje muda huu Tai?
 
Nyasi fupi zinapendeza zaidi bcz! Uwanja ukiwa MCTU wakati wakutema madini! Nyasi zikiwa ndefu mambo mengine yanabakia pale NJE yaani inakuwa km domo lililokula Pilau la Harusini bila kunawa! Namna ile inakapunguza mzuka kiaina Niliwahi kuwa na Mwadamu 1 yy alikuwa ananyoa PUNK waz utam sana jamen!
 
Bustani ikisheheni sana nakua ngumu kulamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…