Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,494
- 167,097
Hata tukiandika sana Historia Wapalestina na Wayahudi wote ni watu wa aina moja tatizo dini na siasa za kidunia ndo zimewatenganisha na kuwafanya maaduiPalestine nimatokeo ya Vita iyopigana kati ya 132 -135 AD ..ambapo majeshi ya ufalme Wa Rumi waliwapiga Majeshi ya Uyahudi yalokua yanaongozwa na Shimon Bar kokhba ( hawa wayaudi walianzisha mapigano hayo km sehem yakulipa kisasi kuungushwa kwa tempo ya yao ndani ya yerusalem mwaka Wa 70 AD
Kwaushind waloupata Rumi ,,nakutokana nahasira walizokua nazo,, wakaamua kutafuta namna ya kuwapoteza Wayahudi ... Na hapo ndipo wakaamua kubadili jina LA Bethlehem of Judea nakua Philistines ( neno la kilatine yaan Palestine) linalomaanisha Adui mkubwa Wa kihistoria...
Shule yao bado wamefunga hajajaJoseverest pole nimekalia Dawati lako la jinsia
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Hata tukiandika sana Historia Wapalestina na Wayahudi wote ni watu wa aina moja tatizo dini na siasa za kidunia ndo zimewatenganisha na kuwafanya maadui
Sio watu wa aina moja ni watu tofauti kabisa.Hakuna katika historia watu wanaoitwa wapalestina.Wapalestina ni Wafilisti .Wafilisti na wayahudi ni watu wawili tofauti. Kiongozi wa wafilisti mmjawapo alikuwa anaitwa Goliathi wakati kwa wayahudi alikuwa Mfalme Daudi.Wapalestina ni WafilistiHata tukiandika sana Historia Wapalestina na Wayahudi wote ni watu wa aina moja tatizo dini na siasa za kidunia ndo zimewatenganisha na kuwafanya maadui
Kumbukumbu zangu katika biblia zinaonyesha Walikuwepo Wafilisti kwanza kabla hata hajulikani ni nani Ibrahimu.Sio watu wa aina moja ni watu tofauti kabisa.Hakuna katika historia watu wanaoitwa wapalestina.Wapalestina ni Wafilisti .Wafilisti na wayahudi ni watu wawili tofauti. Kiongozi wa wafilisti mmjawapo alikuwa anaitwa Goliathi wakati kwa wayahudi alikuwa Mfalme Daudi.Wapalestina ni Wafilisti
Duuuh!Hao waarabu inatakiwa wapigwe mpk wafutike.
OkDuuuh!
Mh mkuu bora unge like na kupita zako ila hiki ulichoandika kimeonyesha ghorofani wewe ni Bashite[emoji85]Hata tukiandika sana Historia Wapalestina na Wayahudi wote ni watu wa aina moja tatizo dini na siasa za kidunia ndo zimewatenganisha na kuwafanya maadui
Mkuu kisheria neno SEHEMU NA NCHI ni maneno sawa????????mimi sijui ndo maana nauliza tu ili kuleta afya kwenye mjadalaDuniani mpaka sasa kuna watu zaidi ya 7 Billion huku watu wanaoamini mafunzo hayo unayayatoa ni watu zaidi ya 3.6 Billion yani wanaoamini Abrahamic religions huku Christianity ni 33% ,Islam ni 21% na Judaism 0.2% sasa unapozungumzia swala kama hili na ukaleta habari za vitabu vya dini ambavyo wanaoviamini ni 3.6 out of 7 Billion utakuwa hutendi haki kwa wengine waliobaki ndio maana kukawepo sheria ambayo wote tunahusika katika kutungwa kwake kupitia wawakilishi wetu Bungeni au sehemu yeyote ya kutunga sheria Duniani swala la hapa je Ukiondoka sehemu kwa zaidi ya miaka 3000 ukirudi ile sehemu je itaendelea kuwa yako kisheria?
Waasili wa hiyo sehemu ni wa-Kaanani watoto wa HAM....ndio makazi yao yalikuwa hapo...ndio then wakaja hao wajukuu wa Abraham(mjukuu wa Shem) kuwatoa wakaanani then na wao wakatolewa na Warumi! Then ndio warumi wakawaweka hao wapalestina then Wazungu wakaja nao wakaweka hao Wazayuni aka Ashkenazi jews ili Wajukuu wa abraham Original wasije kurudi hapo maana wana Nguvu hawataki wajikusanye tena. Na ndio maana wanatumia nguvu kubwa sana kuwabakisha hapo na propaganda kuwa ndio wajukuu wa Abraham wakati sio.Kumbukumbu zangu katika biblia zinaonyesha Walikuwepo Wafilisti kwanza kabla hata hajulikani ni nani Ibrahimu.
Kwa mujibu wako wafilisti ni wapalestina.OK
Mkuu vipi nikisema kiasili wapalestina ndio wenye makazi maeneo yote waisrael wanayoyagombania?
Maana ujio wa wafilisti na waisrael una muachano mkubwa.