Paka kulia hovyo

Paka kulia hovyo

Wakaya

Senior Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
198
Reaction score
67
Ndugu zangu,baada ya mihangaiko ya kutwa nzima sasa nataka kupumzika,cha ajabu kuna paka wawili wanapiga kelele karibu na nyumba yangu,nimewafukuza lakini bado,ukweli nakosa usingizi!.Hivi mipaka kulia hivi ni dalili ya nini?,au ndo wanataka kugegedana?.
 
Ndo manaake wanataka kugegedana hao ila km uko.simbawanga watu hao😛😛
 
Na hapo lazima wakimbizane na kuparuana then jike analala chali kwa shughuli
 
Inaweza ikawa ni jirani zako hao wamekuja kukusalimia mkuy
 
Fanya maombi ukimaliza kama hawajaondoka ujue niwakawaida then vuta shuka kiongozi
 
Wanataka ku-mate..ni kawaida ya paka kulia kabla ya kufanya io kitu sijui kwa nini
 
Ndugu zangu,baada ya mihangaiko ya kutwa nzima sasa nataka kupumzika,cha ajabu kuna paka wawili wanapiga kelele karibu na nyumba yangu,nimewafukuza lakini bado,ukweli nakosa usingizi!.Hivi mipaka kulia hivi ni dalili ya nini?,au ndo wanataka kugegedana?.

Paka jike wakiwa kwenye heat wanapiga hizo kelele kisha madume nayo yanaunga tela. Nilionaga documentary fulani Discovery chanel, walisema hilo.
 
mating season hiyo mkuu.. hao nyau wanataka kupigana MYUUU
 
Yule mke wa mtu uliyemchukua ndio matokeo yake. Mumewe alikuendea Vigwaza kwa babu. Unalo
 
wanga hao ila hawaji kwako ukiwasikia saa6 hivy ucku ujue mzigo ni wako ila kabla ya hapo haukuhusu
 
Kaseti ya Tatu ya Faustine Munishi "Paka kulia hovyo usiku wanadhani wamelogwa"
 
Back
Top Bottom