bishoke JF-Expert Member Joined Jan 12, 2010 Posts 274 Reaction score 52 May 19, 2012 #1 Wana JF ninatafuta gari aina ya Pajero Jr (1.1 cc) kwa haraka. Tafadhali kama unalo au unazo taarifa muhimu kuhusu wapi naweza pata hili gari hasa Dar tafadhali nijulishe. Asante
Wana JF ninatafuta gari aina ya Pajero Jr (1.1 cc) kwa haraka. Tafadhali kama unalo au unazo taarifa muhimu kuhusu wapi naweza pata hili gari hasa Dar tafadhali nijulishe. Asante
U undugukazi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 315 Reaction score 82 May 22, 2012 #2 kuna Pajero io 1999..cc 1.8 imeingia 2011 November if ur interested na hii ni PM