Kama unataka kumiliki gari aina ya Pajero io (GDI) milango mitano piga namba 0755312233/0717114409 uipate kwa bei nafuu. Mmiliki wa sasa anasafiri nje kwa masomo ya muda mrefu. Anayetaka kuiona kwa ajili ya kununua ataelekezwa ilipo.

Huna lolote hakuna cha kudai unaenda masomoni wala nini hiyo PAJERO io ishakubumia unataka ikamfie mtu mwingine. by the way kwani ulipewa zawadi maana mtu na akili zako ukanunue PAJERO MINI zilivyo kimeo!!! duuh!

Huyu mwuzaji mwenyewe kimeo kama hy gari ilivyo,
nadhani ni dalali yaani ana haraka kupita maelezo, hana hata habari ya kuweka picha wala other specification yaani utadhani anauza mama ntilie!
Wakuu, maelezo yanajitosheleza; anayeihitaji apige simu ataelekezwa ilipo akaione biashara ifanyike. Na sio Mini Pajero, ni 5 doors. Ni ndugu yangu anataka kuiuza anasafiri nje. Yeye sio member Jhapa F.