Mbunifu 11
Senior Member
- Mar 20, 2015
- 104
- 52
Weka picha
Hiyo moja haitoshi kutoa taarifa stahiki. Tuma za kutosha, hata pm nionePicha ipo mkuu,karibu sn
Ipo maeneo gani ya nchi?
bado IPO??Habari wakuu,nauza gari aina ya Pajero GDI
Mwaka 2002
Rangi, Nyeusi
Mileage,200,000 km
1500cc.
Bei million 5
Karibuni wakuu
Pajero mmmmnnh pasua kichwa hiz gariHabari wakuu,nauza gari aina ya Pajero GDI
Mwaka 2002
Rangi, Nyeusi
Mileage,200,000 km
1500cc.
Bei million 5
Karibuni wakuu
Gari za wanaume wa mikoani.Pajero mmmmnnh pasua kichwa hiz gari
service yake inagharimu vitu gani hasaGari za wanaume wa mikoani.
Service yake yakupasa ujipange.
Ni gari nzuri sana kikubwa services.
Vifaa vyake ni ghali sana.service yake inagharimu vitu gani hasa
IPO kwa sasa ni Km 92000