Paid Online survey ukiachana na #Premise

Atwoki

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
756
Reaction score
442
baada ya premise kuanza kuzingua hv. karibuni ktk utowaji w task zao ,imefka hatua kW cku unaweza ambulua task 1 au ucpte kbsa ssa naomb kujua km kun app nyengne nzur y inayo fnya vizur km premise?
 
Premise wapumbavu kweli wanakwambia nend hospitali piga kibao kinachoonesha hospital hiyo , eleza huduma zake
 
Kwa muda mrefu nimetumia Premise ukitaka kupata task za kutosha tegea kila siku ifikapo saa sita usiku log in kwenye app yao. Japo task based on my location zina lipa kidogo napiga tasks kama 4 mpaka 5 kwa siku ila task moja una kuta inatoa tsh.20 mpka 60. So kwa wale wanao kosa task change schedule ya kucheck tasks zako cheki usiku alafu usisahau kutoa reply hapa
 
Jana nimepiga task mbili kila moja 12,000/-
 
Thanks ngoj nijarb
 
Task tsh20!! Mbona ndogo sn
 
Task tsh20!! Mbona ndogo sn
Nadhani baada ya kuona wana tumia app yao kutoa feedback ni wengi basi wameamua kupunguza dau. Ndio mana nikasema nafanya tasks kama tano mpaka sita napata tsh.100 kwa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…