Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,199
- 7,562
Pharmacist ni degree holder.
Hadi kwenye matangazo ya vyuo utasikia wanasema "diploma ya ufamasia"..mtu unabaki unashangaa tu wtf is this.Hajui hilo, sio kosa lake.
Hapo kwa Pharmacist na Registered Nurse, hiyo CERTIFICATE umemaanisha nini?
Sorry, hapo inakusudia muuguzi level ya cheti. Kwa serikalini ni huyu;Hapo kwa Pharmacist na Registered Nurse, hiyo CERTIFICATE umemaanisha nini?
Wanatakiwa kusemaje mkuu?Hadi kwenye matangazo ya vyuo utasikia wanasema "diploma ya ufamasia"..mtu unabaki unashangaa tu wtf is this.
Diploma inabidi aitwe Pharmaceutical technician..kwa kiswahili mbunifu dawa/mteknolojia dawa.Wanatakiwa kusemaje mkuu?
pharmaceutical technician.na certificate ni assistant pharmaceutical technician. Yaana mteknolojia wa dawa, na mteknolojia wa dawa msaidizi. great!Diploma inabidi aitwe Pharmaceutical technicial..kwa kiswahili mbunifu dawa.
pharmaceutical technician.na certificate ni assistant pharmaceutical technician. Yaana mteknolojia wa dawa, na mteknolojia wa dawa msaidizi. great!
mleta uzi ni verified. Aidha, muombaji hapaswi kulipia chochote kokote.Kituo kimoja cha afya? Anapigwa mtu hapa.
DuhDiploma inabidi aitwe Pharmaceutical technicial..kwa kiswahili mbunifu dawa/mteknolojia dawa.
Pharmaceutical technician pia anaitwa fundi dawaDiploma inabidi aitwe Pharmaceutical technicial..kwa kiswahili mbunifu dawa/mteknolojia dawa.
Azizi Mussa vipi kama mtu ana transcript tu, anatarajia kufanya mtihani was leseni mwezi huu wakumi, hawezi kusaidiwa huyo?Wanatakiwa kusemaje mkuu?
Kuna mtu alisema ajira ni za diploma...wenye degree wakae pemben..haya maMD waendelee kuzurura kitaa ππKuna nafasi chache za 'internship' zenye malipo kwenye kituo kimoja cha afya Dar es salaam.
Vijana wanaoweza kupata nafasi ni kama ifuatavyo;
1. Clinical Officer (Tabibu)Mwenye leseni.
2.Assistant Lab Technician (awe na leseni)
3.Phamacetical technician/ assistant pharmaceutical technician
4.Enrolled Nurse (certificate)
5.Health attendant.
Sifa
* Mwombaji awe na vyeti na leseni kwa kazi zinazohitaji leseni.
* Mwombaji awe mwadilifu, muungwana na anayejituma.
* Mwombaji awe yuko Dar es salaam. Waliopo maaeneo ya tabata au ubungo itapendeza zaidi.
N.B
Watakaoonesha ufanisi na uaminifu kwenye kazi wanaweza kuajiriwa.
Kama kuna mtu yuko interested au anajua mtu ambaye yuko interested, atume Cv na vyeti kwenye document moja ya pdf kwenye PM hapo.
au tuma kwenye email pekinghealthcare@yahoo.com
Aidha, mwombaji hapaswi kulipia chochote kokote.
Ni sahihi, hao ndio watendaji, wenye elimu kubwa hao mameneja ambapo uhitaji wao ni mdogo . au unajua ile pembe tatu?Kuna mtu alisema ajira ni za diploma...wenye degree wakae pemben..haya maMD waendelee kuzurura kitaa ππ
Nadhani hairuhusiwi kwa standards zilizopo nchini.Azizi Mussa vipi kama mtu ana transcript tu, anatarajia kufanya mtihani was leseni mwezi huu wakumi, hawezi kusaidiwa huyo?
MD namaanisha Medical Doctor- bachelor holder na sio Managing Director bossNi sahihi, hao ndio watendaji, wenye elimu kubwa hao mameneja ambapo uhitaji wao ni mdogo . au unajua ile pembe tatu?