Freelancer Wakala JF-Expert Member Joined Feb 6, 2016 Posts 1,193 Reaction score 828 Sep 11, 2016 #1 Habarini members. Nawezaje tengeneza page ya Facebook bila kuwa na Add Friend? au Niwe na kitufe cha follow pekee yake nifanyaje? Nawasilisha.
Habarini members. Nawezaje tengeneza page ya Facebook bila kuwa na Add Friend? au Niwe na kitufe cha follow pekee yake nifanyaje? Nawasilisha.
fagix JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 741 Reaction score 563 Sep 11, 2016 #2 Freelancer Wakala said: Habarini members. Nawezaje tengeneza page ya Facebook bila kuwa na Add Friend? au Niwe na kitufe cha follow pekee yake nifanyaje? Nawasilisha. Click to expand... Km unataka followers tumia ads ambayo utalipia kulingana na mahitaji na uwezo wako WA kulipia Kubwa km unataka kutumia ads xa fb lazma uwe na PayPal account au uwe na credit card ya bank ambayo CVV yake inaruhusu kulipia online
Freelancer Wakala said: Habarini members. Nawezaje tengeneza page ya Facebook bila kuwa na Add Friend? au Niwe na kitufe cha follow pekee yake nifanyaje? Nawasilisha. Click to expand... Km unataka followers tumia ads ambayo utalipia kulingana na mahitaji na uwezo wako WA kulipia Kubwa km unataka kutumia ads xa fb lazma uwe na PayPal account au uwe na credit card ya bank ambayo CVV yake inaruhusu kulipia online