Pagala Linauzwa

Pagala Linauzwa

Pagala Linauzwa

Lipo Boma-Ngombe kwa Wasomali-Sinai

Bei ni milioni 23 maongezi yapo

Eneo lina Pagala Mbili moja ya vyumba vitatu kimoja selfu na sebule jiko na diningna nyingine ya vyumba viwili kimoja selfu na sebule.Ukubwa wa eneo ni sqm 600

Umeme na maji vipo

Picha na Maelezo yanapatikana inbox masokotz@yahoo.com
Mbona tangazo lako hukuweka inbox,
 
Comrade ni dining au "diningna" alafu unaona tangazo lako umelitendea haki kweli?
 
Yaani picha hapa zinakataa ila pm zinakubali. Ngastuka
 
Biashara ni kuweka taarifa kamili pamoja na picha ya hilo jengo;majengo mengine huwa hayafai kuendelezwa zaidi ya kulibomoa na kuanza upya,ni vizuri kuweka picha ili mnunuzi aweze kutathmini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom