AiseeeHiyo elfu 30 sijaenda kununua unga na mchele,na gesi imeniishia na hizi mvua mkaa shida.?? Na hiyo sijanunua mafuta ya baby care na Nivea ya buku 5 deodorant?
Weka picha mkuu,Watu wanasema kizuri kula na mwenzio. Nimeona kuna nyuzi nyingi umu za pafyumu watu wakiangaika kusaka pafyumu zinazonukia vizuri.
Niwaambie tu siku hizi habari ya mjini ni pafyumu za kiarabu wala usiangaike na brands kubwa kubwa sijui versace, gucci, polo, creed. Waarabu wanatoa unyunyu hauna tofauti kabisa hizo brand kubwa tena unakaa kwenye nguo 48 hrs achana na wanaosema pafyumu za arabuni zina majini.
Kwa wale wakiume tafuta pafyumu inaitwa Alshabab au Jazzab then utaniambia. Ni sh elfu 30 tu lakini utanukia vizuri kuliko mwenye boss au calvin klein ya laki 3.
Nb sijataja maduka sababu mtasema napiga promo.
Nenda mlimani city ulizia perfume za wasyliaDaaahh patamu hapo unyunyuziaji ndo mwanzo wakujikubali, sio fanya promosheni kaka unapatikana wapi huo unyunyu brazaa nikawakanyagie Watt wa kiarabu na wakihindi wanaopenda kuliwa na mtu anaefanan nae kwenye manukato.....
Hahaaaaa
Ungetaja na maduka mkuuWatu wanasema kizuri kula na mwenzio. Nimeona kuna nyuzi nyingi umu za pafyumu watu wakiangaika kusaka pafyumu zinazonukia vizuri.
Niwaambie tu siku hizi habari ya mjini ni pafyumu za kiarabu wala usiangaike na brands kubwa kubwa sijui versace, gucci, polo, creed. Waarabu wanatoa unyunyu hauna tofauti kabisa hizo brand kubwa tena unakaa kwenye nguo 48 hrs achana na wanaosema pafyumu za arabuni zina majini.
Kwa wale wakiume tafuta pafyumu inaitwa Alshabab au Jazzab then utaniambia. Ni sh elfu 30 tu lakini utanukia vizuri kuliko mwenye boss au calvin klein ya laki 3.
Nb sijataja maduka sababu mtasema napiga promo.
Watu wanasema kizuri kula na mwenzio. Nimeona kuna nyuzi nyingi umu za pafyumu watu wakiangaika kusaka pafyumu zinazonukia vizuri.
Niwaambie tu siku hizi habari ya mjini ni pafyumu za kiarabu wala usiangaike na brands kubwa kubwa sijui versace, gucci, polo, creed. Waarabu wanatoa unyunyu hauna tofauti kabisa hizo brand kubwa tena unakaa kwenye nguo 48 hrs achana na wanaosema pafyumu za arabuni zina majini.
Kwa wale wakiume tafuta pafyumu inaitwa Alshabab au Jazzab then utaniambia. Ni sh elfu 30 tu lakini utanukia vizuri kuliko mwenye boss au calvin klein ya laki 3.
Nb sijataja maduka sababu mtasema napiga promo.
'wasylia' hilo neno linatamkwaje?Nenda mlimani city ulizia perfume za wasylia
Nahisi amemaanisha wasyria(Syria nchi).'wasylia' hilo neno linatamkwaje?
Ref comment #18'wasylia' hilo neno linatamkwaje?
ExactlyNahisi amemaanisha wasyria(Syria nchi).
asante mkuu.Nahisi amemaanisha wasyria(Syria nchi).