Pafyumu za Kiarabu ndio habari ya mjini, unanukia vizuri kwa bei chee..Achana na brands!

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
368
2,511
Watu wanasema kizuri kula na mwenzio. Nimeona kuna nyuzi nyingi umu za pafyumu watu wakiangaika kusaka pafyumu zinazonukia vizuri.

Niwaambie tu siku hizi habari ya mjini ni pafyumu za kiarabu wala usiangaike na brands kubwa kubwa sijui versace, gucci, polo, creed. Waarabu wanatoa unyunyu hauna tofauti kabisa hizo brand kubwa tena unakaa kwenye nguo 48 hrs achana na wanaosema pafyumu za arabuni zina majini.
Kwa wale wakiume tafuta pafyumu inaitwa Alshabab au Jazzab then utaniambia. Ni sh elfu 30 tu lakini utanukia vizuri kuliko mwenye boss au calvin klein ya laki 3.

Nb sijataja maduka sababu mtasema napiga promo.
 
Weka picha mkuu,
 
Daaahh patamu hapo unyunyuziaji ndo mwanzo wakujikubali, sio fanya promosheni kaka unapatikana wapi huo unyunyu brazaa nikawakanyagie Watt wa kiarabu na wakihindi wanaopenda kuliwa na mtu anaefanan nae kwenye manukato.....
Hahaaaaa
 
Watu wanasema kizuri kula na mwenzio. Nimeona kuna nyuzi nyingi umu za pafyumu watu wakiangaika kusaka pafyumu zinazonukia vizuri.

Niwaambie tu siku hizi habari ya mjini ni pafyumu za kiarabu wala usiangaike na brands kubwa kubwa sijui versace, gucci, polo, creed. Waarabu wanatoa unyunyu hauna tofauti kabisa hizo brand kubwa tena unakaa kwenye nguo 48 hrs achana na wanaosema pafyumu za arabuni zina majini.
Kwa wale wakiume tafuta pafyumu inaitwa Alshabab au Jazzab then utaniambia. Ni sh elfu 30 tu lakini utanukia vizuri kuliko mwenye boss au calvin klein ya laki 3.

Nb sijataja maduka sababu mtasema napiga promo.
Ungetaja na maduka mkuu
 
Nilidhania utasema perfume za buku tatu sana Elfu 30 mbona hakuna ushauri wowote wa busara hapo,wengine tumezaliwa mabahili hatujajifunzia ukubwani

Back
Top Bottom