rachel 123
New Member
- May 9, 2017
- 3
- 0
Samahani hiyo ni picha ya perfume!??
Teh sio anataka anunue zote?hahahahah kitonga kwenye ubora wako!hahaha unahis atakupa ya bure lol
hahaaa,mm sihitaj perfume...ni masuala mengine pekee tu.hahahahah kitonga kwenye ubora wako!hahaha unahis atakupa ya bure lol
hahaaa,mm sihitaj perfume...ni masuala mengine pekee tu.
Hahaha BILGERT huyo atiiheheheeheh najitundika usk huu huu aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] me stakiiiahahahahahaha mie mwenyewe sielew km ni picha ya perfume !duh