PACOME DAY "Kitaalamu Zaidi"

  • Thread starter Thread starter guest-1787677877
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    day
G

guest-1787677877

Guest
Siku zikiwa zimetaradadi kuelekea mechi ya Yanga na CR ambayo sisi kama wana Yanga tumeamua kuuita PACOME DAY" Kitaalamu zaidi", ewe mwananchi tupia picha za maandalizi ya siku hii muhimu ikiwa kama njia ya kuanza kuhamasishana kuujaza uwanja.

Kumbuka: Kulikuwa na Kibu DAY katika tarehe 5imba/11/2023. Ewe guvumoya a.k.a tatu Malogo FC kaa mbali na PACOME DAY kwani mlikandwa 5, wakati wa Kibu DAY.
 
Sisi kuwapiga mkono wa nyani waarabu hatutaki
Ila kupaka bleach kama Kajala ex wa Konde boy mwataka 😂😂

Wananchi akili itakaa sawa lini?

Mwarabu kaja kuchukua point 3, halafu nyie mmekomaa na bleach kama mashangazi ya kino 😂
 
Ila kupaka bleach kama Kajala ex wa Konde boy mwataka 😂😂

Wananchi akili itakaa sawa lini?

Mwarabu kaja kuchukua point 3, halafu nyie mmekomaa na bleach kama mashangazi ya kino 😂
kama ipo ipo tu. kuliko kukosa vyote. wacha watu wakipige kipacome 😂😂, waenjoy life.
no body knows tomorrow
 
Ila tungepeleka juhudi kwenye kubuni mbinu za kumpiga mkono wa nyani mwarabu ungefanya la maana kuliko kufanya huu ujinga wa kupaka bleach kama mashangazi wa Kinondoni.

Urembo mwingine ni kijidharirisha tu 😂
mwarabu kupigwa kono la nyani sio kazi yako ni kazi ya viongozi kocha na wachezaji,sisi mashabiki yetu ndo hayo ya pacome day
 
Haya ni matambiko by Mpili mkurugenzi wa benchi la ufundi wa MAJINI FC
 
PACOME DAY "Kitaalamu zaidi" tukutane kwa Mkapa.
 
Nipo Kwa mkapa tayariiiii, mke wangu niagizie chakula leo sirudi nyumbani.
 
Pacome Day, Bleach Day.
Naisubiri kwa hamu hiyo kesho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…