Pacha wa Makonda ni Chacha wa Tabora

Pacha wa Makonda ni Chacha wa Tabora

MKEHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
716
Reaction score
1,144
Wakati Makonda anakiwasha sana kule Arusha kwa mkurugenzi wa jiji la Arusha kule Tabora mkurugenzi wa Sikonge nae hali ngumu sana baada ya hospital ya halmashauri kuonekana kama ilijengwa chini ya kiwango na tabia yake ya kutembea sana nje ya mipaka ya halmashauri yake.
Kuna muda unaweza kuwaelewa sana hawa ma RC kwani kuna vitu vinatia aibu sana kwa serikali.
Unatamani mara nyingine uteuzi uwe wa kushindanisha watu wenye ueledi flani kwenye hicho cheo
 
mara nyingi katika utawala,
viongozi wasio wazalendo siku zote wanakua, si wadilifu, si weledi katika kazi zao, na vilevile si waamunifu kabisaaaa 🐒
 
Kweni Chacha wa Tabora nae aliwahi kupiga Fedha za TASAF?
 
Wakati Makonda anakiwasha sana kule Arusha kwa mkurugenzi wa jiji la Arusha kule Tabora mkurugenzi wa Sikonge nae hali ngumu sana baada ya hospital ya halmashauri kuonekana kama ilijengwa chini ya kiwango na tabia yake ya kutembea sana nje ya mipaka ya halmashauri yake.
Kuna muda unaweza kuwaelewa sana hawa ma RC kwani kuna vitu vinatia aibu sana kwa serikali.
Unatamani mara nyingine uteuzi uwe wa kushindanisha watu wenye ueledi flani kwenye hicho cheo
Utawala wa Maigizo huo kutafuta SIFA kwa kuwaumiza wengine
 
Unaweza ukatukanwa vibaya ukasahau hata mmeo jina lake...kwankujaribu kuwa mtetez wa Wala pesa za wananchi...inawezekana na wewe ni mhusika au mmojawao
 
Back
Top Bottom