Zitto ni Kichwa japokuwa mbowe na misukule yake kama lema haipendi. na huo ndo ukweliHivi kwa nini makosa mengi ya nchi hii yanafumbuliwa na Zito ni kwamba wengine hawayaoni au????
Hivi kwa nini makosa mengi ya nchi hii yanafumbuliwa na Zito ni kwamba wengine hawayaoni au????
Zitto ni Kichwa japokuwa mbowe na misukule yake kama lema haipendi. na huo ndo ukweli
Wakague na mikataba ya wachina kujenga Udom!
Kamati ya bunge hesabu za serikali imeagiza CAG kufanya ukaguzi maalum wa mchakato wa ubinafsishaji wa shirika la Reli.
Kamati ya kudumu ya Bunge hesabu za serikali PAC imefanya ukaguzi wa madaraja ya reli ya kati na kuagiza mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kufanya ukaguzi maaluma wa mchakato wa ubinafsishaji washirika la reli kufuatia malalamik o ya baadhi ya mali zilizokuwa za serikali zikiwemo nyumba zimeuzwa kinyemela bila kufuata utaratibu. Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge hesabu za serikali Zitto Kabwe ameyasema hayo wakati wakifanya ukaguzi wa ujenzi wadaraja la reli kwa kutumia kiberenge kati ya kilosa na mzangaza wilayani Kilosa mkoani Morogoror ambapo amesema kamati imebanini baadhi ya mali nyingi zimepotea bila utaratibu wakati waubinafsishaji.
Aidha Zito amesema kamati imeshangazwa na mpango wa TRL kuzuia wanaosafirisha mizigo kupitia reli kutokuruhusiwa kubeba mizigo ya watu wengine jambo ambalo amesema sio sahihi na mabehewa kurudi tupu yanapotoka mikoani wameshauriana na kuona ili shirika la reli liweze kukua haraka wanahitaji kufanya uwekezaji wakutosha katika reli.
Kwa kampuni hodhi shirika la usimamizi wa reli rahco wamesema wanahitaji trilion 1.5 kwa miaka mitatu kila mwaka wanahitaji bilion 500 ili kuimarisha miundombinu ya reli na kuomba serikali kutenga bujeti ya kutosha kwani kwa sasa wanapata kiasi shilingi bilioni kumi tu kwa mwaka na safari za treli zinafanyika mara mbili kwa wiki.
Hivi kwa nini makosa mengi ya nchi hii yanafumbuliwa na Zito ni kwamba wengine hawayaoni au????
Ungesema Zitto ni kichwa ukaishia hapo ungeeleweka tu. Unapoanza kuwaingiza akina Mbowe unaonekana uko emotional na chuki binfsi
mkuu nimekuelewa vizuri ila kiukweli kabisa ugomvi wa mbowe na Zitto ni madaraka tu. na sioni sababu ya msingi kuanza kumtafutia fitna wakati wote kwa 100% wameshiriki kukijenga chama. huwezi kuubeza mchango wa Zitto kwa chadema kama ilivyo kwa slaa na mbpwe pamoja na kuwa wamemzidi umri.Ungesema Zitto ni kichwa ukaishia hapo ungeeleweka tu. Unapoanza kuwaingiza akina Mbowe unaonekana uko emotional na chuki binfsi
mkuu nimekuelewa vizuri ila kiukweli kabisa ugomvi wa mbowe na Zitto ni madaraka tu. na sioni sababu ya msingi kuanza kumtafutia fitna wakati wote kwa 100% wameshiriki kukijenga chama. huwezi kuubeza mchango wa Zitto kwa chadema kama ilivyo kwa slaa na mbpwe pamoja na kuwa wamemzidi umri.
ndo maana nikaweka wazi kuwa fitna zote hizi juu ya Zitto ni mbowe na misukule yake kama lema, pengine wanatamani hata angemfuata chacha wangwe huko alipo.
Huyu Zitto anafahamu gharama za special audit, au yeye anaangalia mijisifa yake tu... waTanzania wanatakiwa kujua audit za vitu vilivyopita miaka kibao havi-add value kwa wananchi ni matumizi mabaya au ufisadi wa Madaraka... Kwanza auditor wenyewe wataishia kusema hatujaona nyaraka x, y, z... let think carefully... wanasiasa vijana wazuri lakini pia wana-mihemuko ya ki....
Huyu Zitto anafahamu gharama za special audit, au yeye anaangalia mijisifa yake tu... waTanzania wanatakiwa kujua audit za vitu vilivyopita miaka kibao havi-add value kwa wananchi ni matumizi mabaya au ufisadi wa Madaraka... Kwanza auditor wenyewe wataishia kusema hatujaona nyaraka x, y, z... let think carefully... wanasiasa vijana wazuri lakini pia wana-mihemuko ya ki....