L Loolyboy New Member Joined Aug 19, 2016 Posts 4 Reaction score 0 Aug 19, 2016 #1 Naomba wakuu mnishauri kuhusu hilo paa langu je lina ingiza bati za msouth ngapi?
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,008 Reaction score 28,342 Aug 19, 2016 #2 Mkuu kwa haraka haraka andaa bati 72 za 3mtrs ila uwe mvumilivu kwa zitakatwakatwa sana hapo zitakazo ingia bila kukatwa ni bati 9. tuu!!!
Mkuu kwa haraka haraka andaa bati 72 za 3mtrs ila uwe mvumilivu kwa zitakatwakatwa sana hapo zitakazo ingia bila kukatwa ni bati 9. tuu!!!
M Mangi flani hivi JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 2,026 Reaction score 3,111 Aug 19, 2016 #3 Bwashe huu mzigo ni wa bati 150 za futi 10. Kama ni ramani tu, nashauri ubadilishe ila Kama umeshajenga, vumilia.
Bwashe huu mzigo ni wa bati 150 za futi 10. Kama ni ramani tu, nashauri ubadilishe ila Kama umeshajenga, vumilia.
Kig JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 1,079 Reaction score 468 Aug 19, 2016 #4 tutajuaje idadi ya bati wakati ramani yako haionyeshi vipimo vya upana, urefu, elevation nk?
L Loolyboy New Member Joined Aug 19, 2016 Posts 4 Reaction score 0 Aug 19, 2016 Thread starter #5 wa stendi said: Mkuu kwa haraka haraka andaa bati 72 za 3mtrs ila uwe mvumilivu kwa zitakatwakatwa sana hapo zitakazo ingia bila kukatwa ni bati 9. tuu!!! Click to expand... Mkuu mpaka kijasho kinanitoka kwa hio bei kama ngapi itanigjarimu
wa stendi said: Mkuu kwa haraka haraka andaa bati 72 za 3mtrs ila uwe mvumilivu kwa zitakatwakatwa sana hapo zitakazo ingia bila kukatwa ni bati 9. tuu!!! Click to expand... Mkuu mpaka kijasho kinanitoka kwa hio bei kama ngapi itanigjarimu
L Loolyboy New Member Joined Aug 19, 2016 Posts 4 Reaction score 0 Aug 19, 2016 Thread starter #6 Mangi flani hivi said: Bwashe huu mzigo ni wa bati 150 za futi 10. Kama ni ramani tu, nashauri ubadilishe ila Kama umeshajenga, vumilia. Click to expand... Bwa sheh sasa hapo kidogo sijakuelewa kuhusu bati kwa hio ziwe futi 10 na piec 150?!bwa shelh ndo nimesha ingia choo cha kike nisha jenga
Mangi flani hivi said: Bwashe huu mzigo ni wa bati 150 za futi 10. Kama ni ramani tu, nashauri ubadilishe ila Kama umeshajenga, vumilia. Click to expand... Bwa sheh sasa hapo kidogo sijakuelewa kuhusu bati kwa hio ziwe futi 10 na piec 150?!bwa shelh ndo nimesha ingia choo cha kike nisha jenga
L Loolyboy New Member Joined Aug 19, 2016 Posts 4 Reaction score 0 Aug 19, 2016 Thread starter #7 Wakuu jaman nataka mnisaidie je bati 75 au 150 na naomben maelezo kwa uzuri au ni nani haswa mnae mjua ana shuulika na maswala ya kuweka bati
Wakuu jaman nataka mnisaidie je bati 75 au 150 na naomben maelezo kwa uzuri au ni nani haswa mnae mjua ana shuulika na maswala ya kuweka bati
ndetia JF-Expert Member Joined Jun 9, 2012 Posts 615 Reaction score 669 Aug 19, 2016 #8 njoo inbox mkuu nauza vifaa vya ujenzi kuanzia mbao hadi bati....ila huwezi jua idadi ya mbao hadi uwe na vipimo au fundi afike site akadirie
njoo inbox mkuu nauza vifaa vya ujenzi kuanzia mbao hadi bati....ila huwezi jua idadi ya mbao hadi uwe na vipimo au fundi afike site akadirie