nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,914
Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu, amesema serikali imejipanga kutoa elimu ya matumizi sahihi ya vidonge vya dharura vya kuzuia mimba (P2), ili kuepusha wananchi hasa wasichana na madhara, Kutokana na matumizi holela ya vidonge hivyo, ambavyo vinaweza kusababisha kupata ugumba na saratani.
Waziri Ummy amebainisha hayo, mkoani Dar es Salaam wakati akizindua ripoti ya utafiti wa haki za afya ya uzazi kwa wanawake, na wasichana Tanzania, uliofanywa nchi nzima na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA).
Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app