P Diddy atangaza kustaafu muziki na kuhamia kwenye uigizaji

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
33A19AC200000578-3564496-Fans_also_got_to_join_the_R_B_star_as_he_brushed_his_teeth_holdi-m-143_1461877863092-1-300x194.jpg

Rapper mkongwe kutoka Marekani, Sean John Combs maarufu kama P Diddy amesema anataka kustaafu kwenye muziki na kujikita zaidi kwenye uigizaji.

P Diddy amesema muda siyo mrefu ataachia albamu yake ya mwisho na kuachana na muziki na kufanya kazi ya filamu.

Akiongea na Ace Showbiz, Diddy amesema, “I’m going to put out my last album and devote 100 percent of my time to doing films. I want to stop at a great place. And a final album is a great place to stop. I want to take a victory lap, to do a world tour and really enjoy it one last time.”

P. Diddy aliongezea kuwa, “When I’m gone, only the songs will survive. I know I’m making music that will live on. I don’t go into the studio just to be hot or to hear myself on the radio.”

Diddy ni mmiliki wa lebo ya Bad Boys Entertainment, lakini pia ni mmoja kati ya wasanii matajiri duniani akiwa mpaka sasa anautajiri wa zaidi ya dola milioni 735.

Source: Bongo 5
 
Kichwa cha khabari kilinifanya nitafakari sana ana staafu nini?niliposoma ndani ndipo nimegundua sikuwa sahihi nilichofikiria.
 
Naona mwanae Christian is the future of bad boy records ame sign in to the label...wamefanana mno. Something tells me he z one of his best.

Huyu jamaa ni capitalist big tym. He knows when and where to strike unlike Dr. Dre design ni puppet kwa Jimmy Iovine.
 
No one knows how and when to move better than Dre. Dude did revolution after revolution after revolution, Diddy and Jay only did it once.

Created N.W.A and got nothing from it. Moved and created Death Row, and left with nothing. Went on and create the Math, and then the headphones. Dude just tops his own success. That's ridiculously iconic. Mpe heshima yake.

Diddy is corny, and so is everybody around him.
 
Paulo Sergio De Souz

Nafaham nd its not like simuheshimu or sumthing. He z talented music-wise,

But business wise he znt that good interms of making money thru business ventures...diddy z a bit smarter angalia hata ventures zake nyingi anajisimamia mwenyewe.....Dre yule mzungu Jimmy Iovine ndio architect wa 60% of Dre's success hata zile headphone ilikua ni idea ya Jimmy Iovine but mwenye jina ni Dre...so jamaa aka leverage fame ya msela akadumbukiza hela zake and in turn wakatusua wote.

Another smart business character ni 50 Cent he is very smart nd always cunning (a fierce competitor)....Jimmy alishamuona yule dogo as a threat and that he z hard to manipulate...dogo kaleta headphones zake before the Beats acquisition faster akamtema msela na he z making sure 50 hafanikiwi. Jimmy is simply the devil behind 50 Cent recent failures ameondoa all the excitement in 50's stuff though on the surface he acts all cool and stuff ( Sikiliza - " Changes - 50 Cent Ft. G Unit " )

Before Beatz, Dr. Dre hata Forbes top 5 Hip Hop moguls hakuwepo....kaanza ku appear after HTC kununua a stake in Beats Electroncs...na kwanza hata bila ile Beats Music Software/App....apple wasinge acquire Beats....ni ile app ya beats ilikua ina compete na itunes its obvious they were going to win. Inshort jamaa jina na good music reputation ndio vimemtoa in accounting wanaita "Goodwill".
 
Duuh wewe jamaa una uhusiano wowote na kiwanda cha AMBONI PLASTIC cha Tanga.?
Jina tu lisikutishe na hili nilitoa kwenye kitabu cha allan quartemain kuna sehemu kulikuwa na wajivuni wanapaita guasa amboni dizaini kama wamasai flan hivi.
 
Paulo Sergio De Souz

Nafaham nd its not like simuheshimu or sumthing. He z talented music-wise,

But business wise he znt that good interms of making money thru business ventures...diddy z a bit smarter angalia hata ventures zake nyingi anajisimamia mwenyewe.....Dre yule mzungu Jimmy Iovine ndio architect wa 60% of Dre's success hata zile headphone ilikua ni idea ya Jimmy Iovine but mwenye jina ni Dre...so jamaa aka leverage fame ya msela akadumbukiza hela zake and in turn wakatusua wote.

Another smart business character ni 50 Cent he is very smart nd always cunning (a fierce competitor)....Jimmy alishamuona yule dogo as a threat and that he z hard to manipulate...dogo kaleta headphones zake before the Beats acquisition faster akamtema msela na he z making sure 50 hafanikiwi. Jimmy is simply the devil behind 50 Cent recent failures ameondoa all the excitement in 50's stuff though on the surface he acts all cool and stuff ( Sikiliza - " Changes - 50 Cent Ft. G Unit " )

Before Beatz, Dr. Dre hata Forbes top 5 Hip Hop moguls hakuwepo....kaanza ku appear after HTC kununua a stake in Beats Electroncs...na kwanza hata bila ile Beats Music Software/App....apple wasinge acquire Beats....ni ile app ya beats ilikua ina compete na itunes its obvious they were going to win. Inshort jamaa jina na good music reputation ndio vimemtoa in accounting wanaita "Goodwill".
Uandishi wako kama mwanaume wa dar.tumia lugha moja inayoeleweka
 
Back
Top Bottom