🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌Habari ya muda sana hii, ulikua jela au?
Jopo la Mawakili wa P Didy wamepambana kuomba dhamana waliomba kuweka dhamana jumba lake la kifahara lenye thamani ya zadi ya bilioni 50 pamoja na ndege yake binafsi lakini Mahakama imekataa kumpa dhamana kwa kigezo kuwa anaweza kutumia uwezo wake kuharibu mchakato wa upatikanaji wa haki, lakini pia makosa yanayo mkabili ni hatari sana.
Amerudishwa kwenye gereza lenye ulinzi mkali na maarufu kwa kuwekwa watu hatari.
Mambo ya kujifunza ni;
1. kweli sheria ni msumeno, hakuna aliye juu ya sheria....usivunje sheria kisa utajari ulio nao au cheo.
2. Malipo na hapahapa duniani wewe fanya ushenzi wako lakini iko siku utaangukia pua.Leo hii P Diddy yupo gerezani anasota
Diamond umeandika Kwa uchungu Sana, kuliwa Witi sio Jambo la MchezoJopo la Mawakili wa P Didy wamepambana kuomba dhamana waliomba kuweka dhamana jumba lake la kifahara lenye thamani ya zadi ya bilioni 50 pamoja na ndege yake binafsi lakini Mahakama imekataa kumpa dhamana kwa kigezo kuwa anaweza kutumia uwezo wake kuharibu mchakato wa upatikanaji wa haki, lakini pia makosa yanayo mkabili ni hatari sana.
Amerudishwa kwenye gereza lenye ulinzi mkali na maarufu kwa kuwekwa watu hatari.
Mambo ya kujifunza ni;
1. kweli sheria ni msumeno, hakuna aliye juu ya sheria....usivunje sheria kisa utajari ulio nao au cheo.
2. Malipo na hapahapa duniani wewe fanya ushenzi wako lakini iko siku utaangukia pua.Leo hii P Diddy yupo gerezani anasota
Kwan alikuwa amepinda?
Ni kwenye nchi zinazo heshimu katiba ya nchi. Vi nchi Kama Gabon na Equatorial Guinea mtu mwenye pesa au connection akifanya kosa Kama Hilo anaweza kukataa kukamatwa au akakataa kwenda gerezani au hata mahakamani.Jopo la Mawakili wa P Didy wamepambana kuomba dhamana waliomba kuweka dhamana jumba lake la kifahara lenye thamani ya zadi ya bilioni 50 pamoja na ndege yake binafsi lakini Mahakama imekataa kumpa dhamana kwa kigezo kuwa anaweza kutumia uwezo wake kuharibu mchakato wa upatikanaji wa haki, lakini pia makosa yanayo mkabili ni hatari sana.
Amerudishwa kwenye gereza lenye ulinzi mkali na maarufu kwa kuwekwa watu hatari.
Mambo ya kujifunza ni;
1. kweli sheria ni msumeno, hakuna aliye juu ya sheria....usivunje sheria kisa utajari ulio nao au cheo.
2. Malipo na hapahapa duniani wewe fanya ushenzi wako lakini iko siku utaangukia pua.Leo hii P Diddy yupo gerezani anasota
Hapa tz maccm yako juu ya sheria! Rubbish!Jopo la Mawakili wa P Didy wamepambana kuomba dhamana waliomba kuweka dhamana jumba lake la kifahara lenye thamani ya zadi ya bilioni 50 pamoja na ndege yake binafsi lakini Mahakama imekataa kumpa dhamana kwa kigezo kuwa anaweza kutumia uwezo wake kuharibu mchakato wa upatikanaji wa haki, lakini pia makosa yanayo mkabili ni hatari sana.