Ozil aanza kazi;Bale baadaye

Ozil aanza kazi;Bale baadaye

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Mesuit Ozil ameshatoa pasi ya bao lililofungwa na Giroud dakika ya 11.Arsenal yaongoza kwa 1-0 dhidi ya Sunderland. Dakika ni ya 17

Wakati huohuo,Gareth Bale ataingia uwanjani leo kuitumikia Real Madrid watakapokuwa ugenini dhidi ya Villareal. Kabumbu hilo litapigwa kuanzia saa tano usiku wa leo

Kaa chonjo!
 
jamaa anatupa raha mashabiki wa aseno sa hivi kilo zinaanza kuomgezeka
 
Sahv arsenal fans ha2na presha saaana tunapochek gem Mesiut anajua big up Wenger mana hz pass anazotoa Ozl
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom