Tahadhari tu kwa maafisa ubashiri, hasa waliozaliwa juzijuzi:
Mpeni PSG (najua hamuwezi kushawishika vinginevyo), ila msiweke mizigo mikubwa ambayo hamuwezi kuhimili kuipoteza maana lolote laweza tokea.
Mganga wetu kwenye gemu za hivyo huwa ni immortal, hakufagi.
Bayern Munich walishambulia mpaka wakahisi kuchanganyikiwa, hadi penalti zilikuwa zinapanguliwa tu asipopangua goalie beki atapangua kwenye chaki, wakikwama wote post inasaidia. Ili mradi tu wateule wanyanyue makwapa