Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,149 Reaction score 43,097 Jul 10, 2025 #1 Hawa PSG wanapeleka sana moto Nawashauri vitoto vya Chelsea na Babu yao wasiingize timu watapigwa Kono la nyani
Hawa PSG wanapeleka sana moto Nawashauri vitoto vya Chelsea na Babu yao wasiingize timu watapigwa Kono la nyani
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,149 Reaction score 43,097 Jul 10, 2025 Thread starter #2 OllaChuga Oc lembu Aaliyyah Tutacheza na PSG fainali au tusipeleke timu uwanjani??? YNWA
CHIEF MGALULA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 1,190 Reaction score 889 Jul 10, 2025 #3 kabisa...tunaijua hiyo
Ngiama makanda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 2,197 Reaction score 3,911 Jul 10, 2025 #4 Hao wafaransa tutaishi nao kimkakati na ndoo tunabeba
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Jul 10, 2025 #5 Ngiama makanda said: Hao wafaransa tutaishi nao kimkakati na ndoo tunabeba Click to expand... Fainali ni lini?
Ngiama makanda said: Hao wafaransa tutaishi nao kimkakati na ndoo tunabeba Click to expand... Fainali ni lini?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,345 Reaction score 108,442 Jul 10, 2025 #6 excel said: Fainali ni lini? Click to expand... Jumapili tareh 13, saa 4 usiku kwa muda wa Tanzania...
excel said: Fainali ni lini? Click to expand... Jumapili tareh 13, saa 4 usiku kwa muda wa Tanzania...
Sega la asali JF-Expert Member Joined Oct 5, 2023 Posts 1,233 Reaction score 2,801 Jul 10, 2025 #7 Manyanza said: OllaChuga Oc lembu Aaliyyah Tutacheza na PSG fainali au tusipeleke timu uwanjani??? YNWA Click to expand... Chelsea sio thiimba
Manyanza said: OllaChuga Oc lembu Aaliyyah Tutacheza na PSG fainali au tusipeleke timu uwanjani??? YNWA Click to expand... Chelsea sio thiimba
Chibike JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 4,909 Reaction score 7,560 Jul 10, 2025 #8 Tangu psg wajifunze jinsi ya kujamiiana , wanajiona Sasa wao ni wao na wanaweza kujamiiana na mwanamke yoyote. Haya bas sawa.
Tangu psg wajifunze jinsi ya kujamiiana , wanajiona Sasa wao ni wao na wanaweza kujamiiana na mwanamke yoyote. Haya bas sawa.
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,580 Jul 10, 2025 #9 Naona Jezi za PSG zinaenda kuvaliwa na warembo balaa, sasa Jezi za Palmeiras zitapumzika naona Oda zishaanza kuwekwa
Naona Jezi za PSG zinaenda kuvaliwa na warembo balaa, sasa Jezi za Palmeiras zitapumzika naona Oda zishaanza kuwekwa
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,257 Reaction score 103,281 Jul 10, 2025 #10 Naona Kylian Mbappe ana zidi tu kupishana na Gari la mishahara.
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,580 Jul 10, 2025 #11 The Icebreaker said: Naona Kylian Mbappe ana zidi tu kupishana na Gari la mishahara. Click to expand... Real Madrid pigwa Chuma 4 kwa O Demba
The Icebreaker said: Naona Kylian Mbappe ana zidi tu kupishana na Gari la mishahara. Click to expand... Real Madrid pigwa Chuma 4 kwa O Demba
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,257 Reaction score 103,281 Jul 10, 2025 #12 zerominus10 said: Real Madrid pigwa Chuma 4 kwa O Demba Click to expand... Ndio maana nikasema kua,Mbappe aliondoka PSG kwenda Madrid kwa matumaini ya kupata vikombe huko,ila ni kama kapishana na Gari la mishahara.
zerominus10 said: Real Madrid pigwa Chuma 4 kwa O Demba Click to expand... Ndio maana nikasema kua,Mbappe aliondoka PSG kwenda Madrid kwa matumaini ya kupata vikombe huko,ila ni kama kapishana na Gari la mishahara.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Jul 10, 2025 #13 zerominus10 said: Naona Jezi za PSG zinaenda kuvaliwa na warembo balaa, sasa Jezi za Palmeiras zitapumzika naona Oda zishaanza kuwekwa Click to expand... Walete jezi kali sasa
zerominus10 said: Naona Jezi za PSG zinaenda kuvaliwa na warembo balaa, sasa Jezi za Palmeiras zitapumzika naona Oda zishaanza kuwekwa Click to expand... Walete jezi kali sasa
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,580 Jul 10, 2025 #14 The Icebreaker said: Ndio maana nikasema kua,Mbappe aliondoka PSG kwenda Madrid kwa matumaini ya kupata vikombe huko,ila ni kama kapishana na Gari la mishahara. Click to expand... Anajilaumu sasa Real Madrid katua Bundi soon dogo atakimbia maana sasa wanaowika ni dogo wa Barca Lamine Yamal
The Icebreaker said: Ndio maana nikasema kua,Mbappe aliondoka PSG kwenda Madrid kwa matumaini ya kupata vikombe huko,ila ni kama kapishana na Gari la mishahara. Click to expand... Anajilaumu sasa Real Madrid katua Bundi soon dogo atakimbia maana sasa wanaowika ni dogo wa Barca Lamine Yamal
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,580 Jul 10, 2025 #15 Saint Ivuga said: Walete jezi kali sasa Click to expand... Zipo Jikoni zinakuja zaidi ya zile za Palmeiras subiri naona warembo kibao wameweka Oda wanataka Jezi za PSG
Saint Ivuga said: Walete jezi kali sasa Click to expand... Zipo Jikoni zinakuja zaidi ya zile za Palmeiras subiri naona warembo kibao wameweka Oda wanataka Jezi za PSG
MrKanteChelsea JF-Expert Member Joined May 12, 2019 Posts 655 Reaction score 823 Jul 10, 2025 #16 Acha kufananisha chelsea na vitu vya kijinga
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 2,986 Reaction score 5,160 Jul 10, 2025 #17 The Icebreaker said: Naona Kylian Mbappe ana zidi tu kupishana na Gari la mishahara. Click to expand... Aisee dogo ana bahati mbaya, timu aliyotoka imekuwa ya Moto aliyokwenda imekuwa makande dah
The Icebreaker said: Naona Kylian Mbappe ana zidi tu kupishana na Gari la mishahara. Click to expand... Aisee dogo ana bahati mbaya, timu aliyotoka imekuwa ya Moto aliyokwenda imekuwa makande dah
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 4,012 Reaction score 10,462 Jul 10, 2025 #18 Manyanza said: Hawa PSG wanapeleka sana moto Nawashauri vitoto vya Chelsea na Babu yao wasiingize timu watapigwa Kono la nyani View attachment 3399875 Click to expand... Mtapigwa 6ππ
Manyanza said: Hawa PSG wanapeleka sana moto Nawashauri vitoto vya Chelsea na Babu yao wasiingize timu watapigwa Kono la nyani View attachment 3399875 Click to expand... Mtapigwa 6ππ
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 2,986 Reaction score 5,160 Jul 10, 2025 #19 PSG siku hizi ni mwendo wa Kula vichwa tu, hacheki na wowote
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 2,145 Reaction score 4,292 Jul 10, 2025 #20 Tutawakanda PSG kwa mtindo wa ki BOTAFOGO