ovyooo!!!

Joined
Mar 24, 2012
Posts
32
Reaction score
4
Sijui siku hizi Tanesco kuna kitengo cha kuharibu vyombo vya umeme kwa makusudi, huku Mwananyamala imekuwa kawaida kwamba lazima umeme uzimwe na kuwashwa mara kadhaa tena interval ya zima-washa ni sekunde tu!!! Ovyooo!!!
 
Wameniunguzia friji langu jana na kuua compressor, 240,000 inanihusu!!! Duuuuuh TANESCO hovyo kabisa.
 
pia kuna kaline fluni huku gongo la mboto mambo yake ovyoovyo kama huko,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…