Ivi chadema mnavyo jichelewesha kwenda kujibu case zenu mahakamini mtakuja kutia uchaguzi ndo huo unakaribia Boss wenu bado yuko ndani anatoa sababu za kuumwa ambazo hazina mashiko kabisa.. Mwisho wa siku mtafeli kwenye uchaguzi unao kuja kisa hizo kesi zenu kuisha kwa kutoa sababu sizizo na msingi
Sent using
Jamii Forums mobile app