Nchi gani?Wakuu habari zenu
Muongozo kwa wanaofahamu sheria za immigration nina overstay in my passport harafu nataka kuludi nyumbani je nikivuka ile inchi bila bann nikifika home bado wataitambua kama overstay still maana nita apply visa into their embassy.
Wakuu habari zenu
Muongozo kwa wanaofahamu sheria za immigration nina overstay in my passport harafu nataka kuludi nyumbani je nikivuka ile inchi bila bann nikifika home bado wataitambua kama overstay still maana nita apply visa into their embassy.
Nina mke nabidi niludi kuomba spouse visa in SA embassysogea hapo Border ya zimbabwe, tafuta immigration wa sauzi mueleze kuwa una overstay na umwambia mtasaidiana.
Andaa kati ya rand 4000 mpka 10,000
ila ukibargain kihuni utapata kwa nafuu.
Halafu sauzi mbona ni One stop border post.
hakuna haja ya kuomba viza au nimekuelewa vbya mkuu?
Nina mke nabidi niludi kuomba spouse visa in SA embassy
Je ile overstay haita affect my visa application in SA embassy cause i have to show them my prev passport to themKwa uzoefu wangu kama Mkenya, nilipitiliza visitors visa nikavurugwa sana wakati natoka nchi ya watu, immigration wao walinichangamkia kama fisi, ila baada ya kumalizana nao kufika home nikapokelewa na immigration wa kwetu vizuri tena hawakuhangaika kuhesabu hayo mavitu, walipiga mhuri nikaingia zangu nchini.
Nafikiri ndicho utakumbana nacho Tanzania, almradi upite hao wa SA wakufyatue fyatue ila ukifika kwenu freshi utapokewa.
Ndio na nina mke
Sikuwa na work permit i was work as illegal immigrant je hao watu wa beitbridge boda watafuta overstay au watanipa tu departure stamp only?Sasa kama ulikuwa unafanya kazi mkuu mana yake ulikuwa na permit sasa kwanini Viza iwe overstay, Na kama baada ya permit ulikaa overstay sawa.
Kama ni hvyo
Kuna hatihati wakakugongea “Denial” Mpakani, na ni mbaya hiyo inachafua passport
Kuliko kubahatisha ungeitupa hyo pasport ukachukua loss report na na kufuatilia passport mpya ili uingie nayo huko. walau kuna uhakika
Sikuwa na work permit i was work as illegal immigrant je hao watu wa beitbridge boda watafuta overstay au watanipa tu departure stamp only?
Sikuwa na work permit i was work as illegal immigrant je hao watu wa beitbridge boda watafuta overstay au watanipa tu departure stamp only?
Hapo ndo is my real concern how their put in exit stamp without clear overstay maana inabidi ni represent my passport at SA embassy for spouse visa applicationukitoa Hela, wanakupigia stamp ya exit unatoka hivyohvyo zimbabwe livingstone zambia watagonga baada ya hapo utaingia bongo kama unapitia zambia.
Ila ukitaka kurudi sauzi ndo kuna issue kama za kukataliwa endapo wakigundua last time uli-overstay maana zile fingerprint huwa zinabaki kwa system
Sasa how did u overstay Botswana na Zambia wakati ukiwa unaingia SA huwa watoaga transit stamp ya 24 hours onlymimi nili-overstay zambia na bostwana ila nilipita kibishi sana bila hela kwa chocho za makurani river ( sema ni very risky)
Wewe hapo andaa hela unapita ila kama ukizubaa wanakuweka ndani hata siku 2
Sasa how did u overstay Botswana na Zambia wakati ukiwa unaingia SA huwa watoaga transit stamp ya 24 hours only
Hapo ndo is my real concern how their put in exit stamp without clear overstay maana inabidi ni represent my passport at SA embassy for spouse visa application