mkuu mwenyewe
Member
- Nov 23, 2013
- 22
- 1
habarini, Oven kubwa inahitajika kwa ajili ya bakery iwe used au mpya, Inayotumia gas ndio kipaumbele.bei tutaelewana kutokana na ubora wake na idadi ya plates (1 ...).
upo wapi? tuwasiliane vipi na wewe? bajeti yako ni kiasi gani?
thanks mkuu, Nipo dar..bajeti yangu itadepend na Idadi ya plate na hali yake. we unayo ya plate ngap? used or? then ntakupa bajeti