mikumiyetu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 1,312 Reaction score 947 Sep 28, 2016 #1 Habari wakuu simu yangu imegoma kuxoma card leader na flash kwa kutumia otg cable,kabla ya kugoma hapo mwanzo ilikuwa inasoma bila shida tatizo linaweza kuwa nini
Habari wakuu simu yangu imegoma kuxoma card leader na flash kwa kutumia otg cable,kabla ya kugoma hapo mwanzo ilikuwa inasoma bila shida tatizo linaweza kuwa nini
zeromagic Senior Member Joined Sep 14, 2016 Posts 186 Reaction score 67 Sep 28, 2016 #2 badili hyo cable labda Itakua wire umekatika kwa ndani