Osheo la Vikombe Vya Kahawa

halafu sehemu za kunywea huwa nyeusiiiiii
 
Join Date : 8th December 2014
Posts : 187
Rep Power : 340
Likes Received14
Likes Given0​

Ndugu nikitaka kuangalia hizi statistics kwa profile yangu naenda wap?
 
Mi nnlikuwa nkipewa kikombe
cha kahawa,
nikawa nakisuza kwa kahawa kama glass ya bia,
baasi muuzaji akawa ananiangaliaaa ... Duh!
 
Mi nnlikuwa nkipewa kikombe
cha kahawa,
nikawa nakisuza kwa kahawa kama glass ya bia,
baasi muuzaji akawa ananiangaliaaa ... Duh!

Subiri siku ubugi muuzaji awe Mangi , then umwage hiyo ya safisho ! Ndo itakuwa alpha & omega kukuuzia !
 
Usiongee vifuatavyo utaleta LIGI YA KIDINI. Kahawa,Pwani,Mwarabu,Uarabuni,BK,Hamas(&the likes),POLYGAMY Etc.TAKE CARE !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…