Hivi mahesabu ya jela si huwa wanahesabu usiku na mchana? Kwanini wasiseme kahukumiwa miaka 3?Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela kwa mauaji ya mchumba wake. Hii imefuatia rufaa iliyokatwa na Serikali.
Baada ya hukumu hiyo,Pistorius alichukuliwa na askari kupelekwa gerezani kuanza kifungo chake. Uamuzi wa leo unaufuta ule uliotangulia ambapo Pistorius alihukumiwa kifungo cha nje.
Hakuna mahesabu hayo mkuuHivi mahesabu ya jela si huwa wanahesabu usiku na mchana? Kwanini wasiseme kahukumiwa miaka 3?
Noo please be sure, nimewahi sikia hivyo na kuaminishwa hivyo kitambo sanaHakuna mahesabu hayo mkuu
Ni stori za kijiweni tuNoo please be sure, nimewahi sikia hivyo na kuaminishwa hivyo kitambo sana
Nimekuelewa sana mkuu japo hicho kiinglish chako kimenisumbua sanamiaka sita aliyofungwa, kwa sheria za South Africa, ina maana ata serve minimum 3 years ndio awe considered kwa parole
lakini kwa kuwa amesha serve miaka hiyo tayari wakati wa undeshwaji wa kesi, na baadhi ya hiyo akiwa on bail, bado wanahesabu kwamba ameserve,.. msishangae kumuona akitoka kutumikia kifungo cha nje tena very soon on parole basis. lakini basically wazazi wa Reeva wameridhika, manake all they wanted was pistorius awe guilt kwa charge aliyosomewa, bila kujali how long ata serve