Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Unaweza kufafanua? Wengine tunaamini kuwa baada ya kifo hapa kinachofuata ni hukumu!Na huko aliko afe tena mara kumi
bado siwaamini wamarekani
Leo inatimia miaka miwili tangu kitokee kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Kundi la Al-Qaeda, Osama Bin Laden. Osama aliuawa na kikosi maalum cha wanajeshi wa Marekani walifanya shambulio la ghafla wakati wa usiku katika makazi yake yaliyokuwa Abbottabad nchini Pakistan. Aliuawa mnamo tarehe 2/5/2011.Kila mtu na amkumbuke awezavyo...
ooh,kumbe leo ni pasaka ya bin laden.,asante kwa taarifa.Leo inatimia miaka miwili tangu kitokee kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Kundi la Al-Qaeda, Osama Bin Laden. Osama aliuawa na kikosi maalum cha wanajeshi wa Marekani walifanya shambulio la ghafla wakati wa usiku katika makazi yake yaliyokuwa Abbottabad nchini Pakistan. Aliuawa mnamo tarehe 2/5/2011.Kila mtu na amkumbuke awezavyo...
Alaaah; Unakumbuka; kweli hasauliki nafikiri magazeti yote yatatumia kumbukumbu za mheshimiwa huyo ili wajipatie mauzo yao na wanyanyue kipato chao !! Wenzie wanaendelea na msafara na wengine wanamlilia na wengine wanaomboleza masikiniwee na siajabu anakula sahani mojana na wastaafu waliye mlea. Sisi tunachukuliwa maboya !!Leo inatimia miaka miwili tangu kitokee kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Kundi la Al-Qaeda, Osama Bin Laden. Osama aliuawa na kikosi maalum cha wanajeshi wa Marekani walifanya shambulio la ghafla wakati wa usiku katika makazi yake yaliyokuwa Abbottabad nchini Pakistan. Aliuawa mnamo tarehe 2/5/2011.Kila mtu na amkumbuke awezavyo...
bin laden was a nice man bro.Hicho kichwa cha Habari ulivyoandika nikajua una mwanao anaitwa Osama ndio unatupasha habari anatimiza miaka miwili leo! Nikakimbia kuja kuimba Hepi Besdei tuyuu kwa Osama ...kumbe Duuuuh!
Aaaah....Tell that to Americans and the families of the victims of 9/11 bro.bin laden was a nice man bro.
Hata kwao Saudi Arabia wanasema huyu alikuwa muovu. Walimzuia hata kurudi nchini kwake mwenyewe.bin laden was a nice man bro.
what about Bush and his irag,afaghn wars which killed hundred of thousands.Hata kwao Saudi Arabia wanasema huyu alikuwa muovu. Walimzuia hata kurudi nchini kwake mwenyewe.
In any case kumtetea mtu anayepanga na kutekeleza mauaji ya wengi wakiwemo watoto wadogo ni ujasiri hasa.