Orthopaedic Surgery

chante

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
511
Reaction score
675
JF Doctors,

Greetings.

Kuna wakati flani 2011 nilifanyiwa Orthopaedic Surgery, to be precise ORIF(Open Reduction Internal Fixation)- yaani niliwekewa vyuma (metallic plates) katika mkono wangu. Dec,2012 wakavitoa hivyo vyuma(metallic plates)

Swali:
1). Je ni mazingira Gani yanayopelekea mtu kubaki zwa na chuma (plates) maisha yake yoote?

2).Ni madhara gaani ya chuma(metallic plates) kuendelea kubaki katika mwili/mifupa hata pale mifupa ikiishaunga?

3).ORIF inatakiwa kufanyiwa mara ngapi katika mfupa mmoja? Yaani kama Mimi, naweza fanyiwa Tena ORIF ? i.e ORIF Ina ukomo?


Chante.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…