Orodha ya Wanaotafutwa na Polisi Tanzania - Je, Hii ni Sahihi au Jeshi Letu lina Udhaifu?

Bazobonankira

Senior Member
Jan 18, 2007
120
61
Nimekuwa nikijaribu, kwa mara nyingi tu, kufuatilia waalifu ambao wamekuwa wakisumbua raia (micro and macro thieves) na kutaka kujiridhisha ha hatua madhubuti zinazochukuliwa na jeshi la polisi nchini.

Cha ajabu, pamoja na kuwapo orodha ya watu lukuki wanaodaiwa kutafutwa na Polisi (akiwemo shailesh vithlani), hebu tazama orodha ambayo polisi wamkuwa wakiining'iniza katika mtandao wao tangu katikati ya mwaka jana.

Je wengine hawakuwekwa kwa makusudi, wamesahaulika au imependekezwa na wakulu ili wasiwekwe? hata kama hawana sura zao, majina je?

Tunaweza kuanza kuwaorodhesha? Namba moja ni........
 
Mimi
Wewe
Yule na Wale
Kwa kuendelea kuweka serikali na viongozi shalimu katika hatamu ya Uongozi!
Wananchi walituuamini, wakakubali kodi yao itumike kuutusomesha, tukasoma, tukapata kazi, tuukawa mabega juu na kuwasahau, kana kwamba kwa kuwa wao hawakwenda shule, hawana maana kwetuu na vizazi vijavyo! Shame on us all. Indeed, shame on us all!!
 
Mhmm; Mara mwisho alionekana amevaa shati na suluali ya kawaida? Hivi Polisi wapo serious kweli hapo! alafu wote hao wao hapa Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom