Orodha ya viongozi wa juu wa chama cha CCP, yaani kamati tendaji ya juu ya chama

Comred Mbwana Allyamtu

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
348
847
Hawa ndio viongozi wa juu wa chama cha CCP, yani kamati tendaji ya juu ya chama (Politburo standing committee members), kamati hii ya watu 7 ndio kamati ya utendaji wa chama na serikali katika shughuli za kila siku.

Kamati hii ya viongozi hawa inategemewe kupokea majukumu ya kitaifa mwezi march mwakani mbele ya bunge la Umma la China.

Hii ndio orodha yao kwa mpangilio wa nafasi zao (Names as appear in order of precedence).

1- Xi Jinping
2- Li Qiang (juu kushoto)
3- Zhao Leji (Juu kulia)
4- Wang Huning (katikati kushoto)
5- Cai Qi (katikati kulia)
6- Ding Xuexiang (Chini kichoto)
7- Li Xi (Chini kulia).

Kimsingi Hawa ndio huwa viongozi wa juu wa serikali ya China, ntaeleza nafasi zao watakazo pata serikali katika uzi unao fuata.

Baada ya uteuzi wao kwenye chama na kupata baraka kwenye chama, nafasi zao kwenye serikali zitatangazwa mwakani mbele ya bunge la Umma la China (People's Congress).

Wengi wao ni sura mpya.

Ndimi Comred Mbwana Allyamtu CMCA

 
NYONGEZA:

Xi Jinping

Umri
: miaka 69
Elimu: Chemical engineering[Tsinghua University]
Nafasi : Party General Secretary of CPC

Li Qiang

Umri: miaka 63
Elimu: Agricultural mechanization[Ningbo/Zhejiang agricultural university], Sociology[ Private China Sociology Correspondence University], Management engineering[Zhejiang University], World Economics[ Central party School], Master of Business Administration[ Hongkong Polytechnic University]
Nafasi: CPC party secretary of Shanghai

Zhao leji

Umri
: Miaka 65
Elimu: Graduate Education[ Central party School], Philosophy [Philosophy Department Peiking University], Monetary Banking[Chinese academy of social sciences] Political science [Central party School]
Nafasi: Secretary Central commission for Descipline inspection

Wang Huning


Umri
: Miaka 67
Elimu: Master's degree graduate program in international politics, Department of international politics [Fudan University], Law school[Fudan University]
Nafasi: Director policy research office of the CPC Central committee, Director office of the central leading group for comprehensively deeping reform

Cai Qi

Umri
: Miaka 67
Elimu: School of Economic and law & political economy[ Fujian University]
Nafasi: CPC party secretary of Beijing

Ding Xuexiang

Umri
: 60
Elimu: Engineering[Heavy machinery institute in Qinghuangdao/Yanshan University], Master's degree in public administration[ Fudan University]
Nafasi: Director of the general office of the CPC Central committee

Li Xi

Umri
: Miaka 66
Elimu: Studied Chinese language and literature at Department of Chinese language and literature[Northwest normal University], MBA program for senior executives at school of Economics and management[ Tsinghua University]
Nafasi: CPC party secretary of Guangdong province
 
Mbona wazee wote
 
... madikteta katika ubora wao! Hapo hakuna cha uchaguzi wala tume. Mambo ya chama kushika hatamu ndio kama huko sasa. CCM wanajaribu kulazimisha iwe hivyo katika mazingira ya Tanzania.
 
... madikteta katika ubora wao! Hapo hakuna cha uchaguzi wala tume. Mambo ya chama kushika hatamu ndio kama huko sasa. CCM wanajaribu kulazimisha iwe hivyo katika mazingira ya Tanzania.
Kwani mkuu, nini tasfiri ya neno dikteta ?
 
... a form of government characterized by a leader or group of leaders that hold government power with few to no limitations - (Wikipedia).
Kwani hao party Politburo standing committee hawana limitations ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…