Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
tukiachana na hali halisi tupo nyuma kwenye huu uwanja wa apps development hapa bongo, bado kuna watz wanajikita
kutengeneza apps japo wengi hatuzifahamu , kuna kipindi nilisikia kuna mwanafunzi alitengeneza game la bao pale i.f.m nilifurahi
japo sikifatilia kama ali-code mwenyewe au la, ni wakati wa kujivunia tulivyonavyo watz,
tupia apps za simu au program za computer hapa zilizotengenezwa na wa-tz ili tuweze kunufaika kwa njia moja au nyingine
tukiachana na hali halisi tupo nyuma kwenye huu uwanja wa apps development hapa bongo, bado kuna waTZ wanajikita kutengeneza apps japo wengi hatuzifahamu , kuna kipindi nilisikia kuna mwanafunzi alitengeneza game la bao pale IFM nilifurahi,
Japo sikifatilia kama ali-code mwenyewe au la, ni wakati wa kujivunia tulivyonavyo waTZ,
Tupia apps za simu au program za computer hapa zilizotengenezwa na wa-tz ili tuweze kunufaika kwa njia moja au nyingine
iko play store,?Nafikiri kwa hapa JF kuna huyu kijana Nyasiro kazi zake tumeziona
iko play store,?
Ni windows version tumia search button hapo juu kutafuta "ESE Dictionary" utaiona nafikiri hajawa na wazo lakui port kuja android
Ni windows version tumia search button hapo juu kutafuta "ESE Dictionary" utaiona nafikiri hajawa na wazo lakui port kuja android
Thank you. Its Nyasironyaisiro bigup
Kwani waliotengeneza jf apps sio wabongo kudos to them..
Have feeling JF is forum website template download which you reset default parameters to give it individual look. Have seen strikingly similar looking forums to JF on web.
kuna dogo wa IFM kaishtua blog ya fid Q watu wamemweka under custody, raia kama wale wangechukuliwa wakapige code za issue za security, even fid Q mwenyewe angemchukua awe anamlipa kisela, sasa hii inawakatisha tamaa developers wengi wa Tanzania
Watu kama hao Huko selo ndo wanakostahili,kwani wanasoma ili waje wahack blog za watu?
Tupia apps za simu au program za computer hapa zilizotengenezwa na wa-tz ili tuweze kunufaika kwa njia moja au nyingine
Nadhani ni Tapatalk Branded with JF. Invisible atanirekebisha kama nimekosea!kaka simplemind hujamsoma vizuri. hajasema "website" kasema "application" either ya kwenye Android or iOS. JF app imetengenezwa na nani? ndio swali, kama wabongo Big UP