Habari wana Jf,mwenye kufahamu wapi naweza kupata spea mpya na original za gari aina ya Mitsubishi mini pajero cc650 auto transmission kwa hapa Dar es salaam atakua amenisaidia sna...natanguliza shukrani!!!!