Mkuu kila week mzigo mpya unaingia na kwa bei tofauti tofauti.
what we can guarantee ni laptops original kwa bei nzuri kila siku. karibu sana.
kujua stock iliyopo tafadhali usisite kuwasiliana nasi kwa simu, email au kufika hata dukani kwetu.
Pia tutajitajid kila week kuaweka stock iliyopo na bei yake.
Karibu sana Ngosha... hata shinyanga tutakutumia [emoji2]..