Orgasm kwa mwanamke

tulu

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
197
Reaction score
145
Wanawake wengi kulongana na maisha yao machafu kama kusagana, kufanywa bila hisia au na watu wasio waonea hisia. Studies zinaonesha kuwa huwenda wakawa na matatizo ya kisaikologia, hali ambayo itawasababishia maumivu wakati wa kujamiiana.

Study zinaonesha wakati wa tendon la ndoa mwanamke anapata raha Mara 9 ya mwanamme hata hivyo hali hii inaweza kuwa gofauti kwa wanawake wafuatao

1. Wenye aibu wanaoficha maeneo yao Kapuchi zao zisiguswe hata gspot na clitoris na maeneo mengine ili kuwaletea hisia

2. Utumiaji Madawa ya kulevya, sigara, upungufu wa lishe n.k

3. Magonjwa mazito kama kisukari, magonjwa ya moyo yanayopunguza blood circulation kwenye baadhi ya viungo vya mwili

4. Kukataliwa au kubakwa, kubikiriwa vibaya vyote hivyo mtu asipoangalia vinaweza kusababisha kubisi uzuri wa kujamiiana kwa mwanamke

5. Kutokuwa huru wakati wa tendo la ndo na mengine mengi
 
Orgasm kwa mwanamke inategemea zaidi brain which is referred as the aspot of orgasm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…