Ordinary Diploma for Primary Education

Ordinary Diploma for Primary Education

BENJA1

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
39
Reaction score
8
Je, naweza kuomba ODPE kwa ufaulu wa division 4 point 26 ya mwaka 2012 kwa maksi zifuatazo?
Phys-D
Chem-C
Bios-C
Georg-D
Englsh-D
Kisw-D
Civics-D
Bmath-F
Histry-F nahitaji mawazo yenu na ushauri wenu wakuu. Ahsanten!
 
Sifa inayoitajikaa ni uwe na dvs 3, uwe na credit 5, au wale wa gpa wawe na gpa ya 1.6. So uwalimu kwa sasa ni heshimaaaa
 
Sifa inayoitajikaa ni uwe na dvs 3, uwe na credit 5, au wale wa gpa wawe na gpa ya 1.6. So uwalimu kwa sasa ni heshimaaaa
Hapo kwenye division 3 sio lazima credit ziwe tano ni three yoyote ile hadi ya 25 unaenda ualimu.
 
Back
Top Bottom