Unajua watu wamesoma Acc wametoka HKL etc, then hawafatill zaid baada ya masomo zile hesabu ni za kawaida sana hata ukioneshwa njia utabaki unasema mm kiazi kabisa,
Tupende kusoma soma vihesabu hasa vya form 2 kama tumesoma vikozi vya mahesabu kidogo hada hizo za aptitude test