mkeyamasai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 383
- 153
Za jion members,
Za jion members,
Nimeitwa na utumishi kwenye interview ya oral zile kazi za Tanroads sasa nauliza hua wanatabia ya kuuliza maswali ya kuhusu organization au ni ya profession tu wenye uzoefu pliz nisaidieni
Hasa wale waliowah kufanya zile interview utumishi ambapo organization imekua specified
Leo interview ya oral ilikuwaje?Za jion members,