Wanajamvi tayari tanesco wameishawaita wahandisi na techinicians kwa ajili ya oral interview. Kwa mtazamo wangu hapa kuna uhamiaji nyingine hapa. Kama kuna mtu ana majina ya walioitwa ayaweke hapa plz.
Wanajamvi tayari tanesco wameishawaita wahandisi na techinicians kwa ajili ya oral interview. Kwa mtazamo wangcou hapa kuna uhamiaji nyingine hapa. Kama kuna mtu ana majina ya walioitwa ayaweke hapa plz.
hiyo list sijaiona ila ninavyojua tanesco ni wapuuzi zaidi ya uhamiaji,tanesco ni hatari,tanesco is leading entity in employments based in nepotism,second one is tanroads,thanks for tume ya ajira (PSRS) FOR advertised recent tanroads posts,tunaomba na posts za tanesco zitangazwe na tume ya ajira. others are , ppf, pspf, sumatra,nssf etc
Kama ndo hivi sisi wasio na ndugu na makabila yetu madogo tumekwisha. Nadhani watu wanafanyishwa interview kiini macho ila wenye ndugu hapo ndo wanaenda kupata.