Maswali Haya Lazima uulizwe.
*Tell us About your Self
*As an Accounts Assistant Give us five(5) responsibilities(Hizi utazipata katika Tangazo la kazi meza Tano kama zilivyo).
Kuhusu Maswali ya Kada yako Mala nyingi wanapendaga kucheza na topics hizi Ko unaweza yakuta kama yalivyo.
1.Trial balance(goals zake ziko mbili) wewe tafuta 5
2.Importance za Bank reconciliation statement (5)
3.Element za cash flow statement(5)
4.Advantages za cashflow statement(5)
5.Types of accounts(5)
6.Atleast five source docs states that(5) au (3)
7.Elements of income statements(5)
8.Elements of financial statements(5)
9.Five books that prepare before prepartion of Financial statements
10.Types of vouchers(5)
11.Types of invoices(5) au (3)
12.Challenges faces as an accounts Assistant(5)
13.Purpose Of General Accounting Acceptable Principles ziko mainly tatu au unaweza ambiwa weka (5)
14.Clossing process in books of accounting. Ziko (3)
15.Three Parts of Bill of Exchanges
Kaza hizo alafu vingine utaongezea mwenyewe ,You will Thank me later.