Mshahara sh ngapi hapo? Laki DuhInterview za hivyo zinafanywa sana na FINCA, BRAC, ASA na Cool Blue.
Hizi interview ukitoboa mshahara wako ukizidi sana ni 400,000/= ila nyingi mshahara unaishia 100,000/=
We acha tuMshahara sh ngapi hapo? Laki Duh
Hahah dah! nacheka ila tunateseka 😅 na hizi interviewsWe acha tu
Sio poa yaaniHahah dah! nacheka ila tunateseka [emoji28] na hizi interviews
Duh na bachelor yangu wanilipe laki kweli hawaendi mbinguniInterview za hivyo zinafanywa sana na FINCA, BRAC, ASA na Cool Blue.
Hizi interview ukitoboa mshahara wako ukizidi sana ni 400,000/= ila nyingi mshahara unaishia 100,000/=
Duh na bachelor yangu wanilipe laki kweli hawaendi mbinguni
Kama una mchongo wa laki nishtue mzee na mimi nina bachelor piaDuh na bachelor yangu wanilipe laki kweli hawaendi mbinguni
Kama una mchongo wa laki nishtue mzee na mimi nina bachelor pia
Kwa nini usije tukapiga jembe tu hapa kibaigwa walau tunaweza tukapata zaidi ya hiyo laki kwa mwezi?Kama una mchongo wa laki nishtue mzee na mimi nina bachelor pia
Ongeza na hawa wanajiita Camco Equipments, ni wachina wako pale urafiki.Interview za hivyo zinafanywa sana na FINCA, BRAC, ASA na Cool Blue.
Hizi interview ukitoboa mshahara wako ukizidi sana ni 400,000/= ila nyingi mshahara unaishia 100,000/=
Kama una mchongo wa laki nishtue mzee na mimi nina bachelor pia
Hapo ndio unaamini ule msemo ukisema ya nini wenzako wanajiuliza wataipata lini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1430]
Chief unafanya kilimo cha zao gani?Kwa nini usije tukapiga jembe tu hapa kibaigwa walau tunaweza tukapata zaidi ya hiyo laki kwa mwezi?
AlizetiChief unafanya kilimo cha zao gani?
Pambania tu mkuu, kuitwa Interview mara mbili ina maana ile ya kwanza Either hukufanya vizuri, au wameona potential ya wewe kufanya kazi nyingine tofauti na uliyoomba mwanzo.. Kuhusu maswali ya jumla ni kujaribu kupunguza mrundikano kwenye interview yenyewe kwahiyo wanafanya ku shortlist watu wanaoonekana wana uelewa zaidi wa kile mlichoitiwaHabari.
Kuna taasisi ilitoa nafasi za kazi toka mwaka jana ila wasailiwa wameitwa juzi kwa ajili ya usaili.
Baada ya kufika sehemu husika walitakiwa kuingia group la watu 15 na kuanza kuulizwa maswali kwa wote waliobahatka kujibu waliandikwa majina na namba za simu, je hii ni aina gani ya oral interview?
Mi nimelima hizi nimevuna mwezi wa nne. Nikakuta bei kwa debe 13,000 ila sikua na madebe mengi niliweka mtaji kidogoAlizeti