M mnyalutanana Member Joined Nov 3, 2012 Posts 55 Reaction score 18 Jul 12, 2013 #1 Hawa Tanapa tulifanya oral interview tarehe 19 mwezi juni mwaka huu wakasema watatoa majibu within reasonable time. Je kuna mtu kapigiwa cm na hawa jamaa? Naomba kuwasilisha wana jf
Hawa Tanapa tulifanya oral interview tarehe 19 mwezi juni mwaka huu wakasema watatoa majibu within reasonable time. Je kuna mtu kapigiwa cm na hawa jamaa? Naomba kuwasilisha wana jf
kbosho JF-Expert Member Joined Jun 4, 2012 Posts 13,073 Reaction score 6,639 Jul 19, 2013 #2 kwa post gan mkuu?