Oral Interview Equity Bank

Oral Interview Equity Bank

sambb

Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
33
Reaction score
12
Hello JF, jamani kwa wale tulofanya written interview jana pale quality center kuna alofanikiwa kupigiwa simu? Tujulishane jamani.
Thanks.
 
Hv walisema wanaita lini kwa ajili ya oral maan nilifanya pia written pale quality
 
Bado wakuu but the coming week won't end without call for interview...!
 
hawa jamaa wa Equity bank washajulisha watu waliofaulu na walio faulu chini ya wastani. jamani naombeni mwenye ufahamu zaidi namna interview zao za oral zinavyokuwa anipe mwanga kidogo. pia naejua mishahara yao kwa fresh graduate anifahamishe. natanguliza shukrani.

mshahara jiandae na ka net 600...apo maanake gross around 900
mengine sijui
 
Hawa equity bank jana walitutumia meseji tulofaulu written interview wakasema leo tutagiwa simu kwa maelezo zaidi kuhusiana na oral interview siku itayofanyika. Jamani kama kuna mtu alokwisha pigiwa atujulishe.natanguliza shukrani.
 
we upo sehemu gani kwan? tembelea branch za benk utapewa majibu ya maelezo unayotaka.
 
Back
Top Bottom